Uganda National Anthem (Kiswahili Version)
Wimbo Wa Taifa Wa Uganda (Lyrical)
1.
Ah Uganda, Mungu imarisha
Twakupa ujao wetu
Kwa umoja na uhuru
Tusimame imara.
2.
Ah Uganda, nchi huru
Pendo juhudi twakupa
Pamoja na majirani
Tutaishi kwa amani.
3.
Ah Uganda, nchi itulishayo
Kwa jua ardhi ya rutuba
Tutalinda diama
Lulu ya taji l’Afrika.
Wimbo wa Taifa wa Yuganda (Literal)
1.
Aha Yuganda!
Mungu akulinde
Maisha yetu ya badaye tunaiweka
Mikononi mwako kwa umoja
Uhuru na ukombozi
Pamoja daima tutasimama.
2.
Aha Yuganda!
Nchi yenye uhuru
Mapenzi na nguvu yetu tunakupa
Na mayirani wote
Wanaitikia mwito wa nchi yetu
Kwa amani na urafiki tutaishi.
3.
Aha Yuganda!
Nchi inayotulisha
Kwa jua na udong wenye rutuba
Wa nchi yetu pendwa
Daima tutasimama
Luli ya taji l’Afirika
.